World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Bantu lady


Nimeamka mapema lakini leo nitaenda kimtindo kesho muofisi nsijelala, haya tulianzisheni.

Kweli kabisa adolay kazi kwanza mengine taratibu. Mimi kama unavyojua nakula shushu kwasasa.
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua ukikesha siku tatu mfululizo hata uwezo wa kufikiri unapungua.


Siku tatu? mbili tu, una under-perform. usingizi ni relaxation na rejuvenation ya ubongo ku recover normal

operating
condition.
 
TATIANA

Sio rangi yao, rangi yetu, hawa walipelekwa enzi za mashamba ya kahawa na utumikishwaji kutoka bara Africa.
Hahaha hawa walima
Arabica na Robusta wasije wakaniulia mtani wangu Bantu lady kwa pressure.....
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukweli timu ambazo zimekuwa hazipewi nafasi, WC hii zitafanya maajabu sana. Hata atakayenyakua kombe hakuna atakayeamini.
 
Watching Switzerland playing inanikumbusha my late dad kwenye world cup south Africa:r
Oooh so sorry! Daaa so sad lakini wana hali mbaya sana sijui kama mtani atapona leo.
Lazima abebwe kwenye machela. Hawa watoto ni hatari wa Ec
 
Kusema ukweli timu ambazo zimekuwa hazipewi nafasi, WC hii zitafanya maajabu sana. Hata atakayenyakua kombe hakuna atakayeamini.
Yaah watu walijiandaa hakuna cha majina makubwa.

Kwa hiyo mtani una maanisha Ghana atapita kwenye kundi lake?
 
Pole sana TATIANA, R I P daddy. Kumbukumbu ya huzuni sana.

Ruttashobolwa hakuna wa kubebwa kwa machela hapa, hii timu siyo yangu kabisa Uswiss nimeipa tu karata yangu. Ingekuwa Brazil hapo kweli.
 
Last edited by a moderator:
Saa saba usiku ya Jumanne (17.06.2014), na siyo ya Jumatatu (16.06.2014).

Saa saba usiku ya kesho ni kati ya Argentina dhidi ya Bosnia & Herzegovina.

Haya masaa yanachangnya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…