TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Bantu lady alitabiri Ecuador watafungwa 2 sasa sijui ata yageuza matokeo?
Hahahaa.... duuh yaani hapa pressure tupu.
But Ecuador wapo poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bantu lady alitabiri Ecuador watafungwa 2 sasa sijui ata yageuza matokeo?
Heti kweli Bantu lady?Labda ulimnukuu vibaya.!! !
Duu wanakosa goli hapa....Hahahaa.... duuh yaani hapa pressure tupu.
But Ecuador wapo poa
Bantu lady
Nimeamka mapema lakini leo nitaenda kimtindo kesho muofisi nsijelala, haya tulianzisheni.
Nimegundua ukikesha siku tatu mfululizo hata uwezo wa kufikiri unapungua.
Heti kweli Bantu lady?
daaaa uswis wanakosa bao hapa daaaa
Hahaha hawa walimaTATIANA
Sio rangi yao, rangi yetu, hawa walipelekwa enzi za mashamba ya kahawa na utumikishwaji kutoka bara Africa.
Kweli kabisa adolay kazi kwanza mengine taratibu. Mimi kama unavyojua nakula shushu kwasasa.
Oooh so sorry! Daaa so sad lakini wana hali mbaya sana sijui kama mtani atapona leo.Watching Switzerland playing inanikumbusha my late dad kwenye world cup south Africa:r
pole R.I.P to ur dad.Watching Switzerland playing inanikumbusha my late dad kwenye world cup south Africa:r
Hahaha hawa walima
Arabica na Robusta wasije wakaniulia mtani wangu Bantu lady kwa pressure.....
Yaah watu walijiandaa hakuna cha majina makubwa.Kusema ukweli timu ambazo zimekuwa hazipewi nafasi, WC hii zitafanya maajabu sana. Hata atakayenyakua kombe hakuna atakayeamini.
Saa saba usiku ya Jumanne (17.06.2014), na siyo ya Jumatatu (16.06.2014).
Saa saba usiku ya kesho ni kati ya Argentina dhidi ya Bosnia & Herzegovina.