yah ila sio Wajamaica wa Nje ya nchi ukienda canada au England Wajamaica weusi hawapendi kujiona Waafrica na Wamarekani weusi wa miaka hii hawapendi waambiwe wao Waafrica wakati babu zao wakati wanagombania wao haki na kwamba ni Waafrica sijui hawakumbuki ila Weusi South America wanapenda Africa ndomana Brazil Samba ili pigwa ban sababu ngoma ya Africa ila watu wakailazimisha , imesaidia rangi zote Brasil wapatane wapatane sababu ya sambaHao ukijichanganya nao wanajua ni mwenzao.
Hahaha yani inabidi hiwepo kabisa maana mechi hizi za WC hazitabiriki kabisa unaweza kumpoteza mtani hivi hivi.Hahahaa... itabidi tuwe na standby ambulance kwa ajili ya Bantu lady
Oooh so sorry! Daaa so sad lakini wana hali mbaya sana sijui kama mtani atapona leo.
Lazima abebwe kwenye machela. Hawa watoto ni hatari wa Ec
Bora lije AfricaKusema ukweli timu ambazo zimekuwa hazipewi nafasi, WC hii zitafanya maajabu sana. Hata atakayenyakua kombe hakuna atakayeamini.
nachanganya sana Swazland na Swissland?
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.Pole sana TATIANA, R I P daddy. Kumbukumbu ya huzuni sana.
Ruttashobolwa hakuna wa kubebwa kwa machela hapa, hii timu siyo yangu kabisa Uswiss nimeipa tu karata yangu. Ingekuwa Brazil hapo kweli.
Hahaha yani inabidi hiwepo kabisa maana mechi hizi za WC hazitabiriki kabisa unaweza kumpoteza mtani hivi hivi.
Vijana wa Arabica na Robusta wamekwenda kunywa maji sasa.
Pole sana TATIANA, R I P daddy. Kumbukumbu ya huzuni sana.
Ruttashobolwa hakuna wa kubebwa kwa machela hapa, hii timu siyo yangu kabisa Uswiss nimeipa tu karata yangu. Ingekuwa Brazil hapo kweli.
nachanganya sana Swazland na Swissland?
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.
Bora ushabikie chile.
Pole mtani.
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.
Bora ushabikie chile.
Pole mtani.
. 1-1 Ghana ndio timu pekeee Africa Wenye Nguvu na kutumia akili na kucheza football na Group ndio gumu limeitwa gumu sababu wao pia wagumu ikishinda Ghana Mbele it aendelea vizuri.#Team Ghana toka moyoni naamini itafanya maajabu