World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hahaha wewe na mtani wangu presha zinawapanda mlopo huko. Mlijua Uswiss ni uchochoro eeh, hii ni njoa ya magari yaendayo kasi.
Mtani una bahati sana daaa naona umekaribia kupata suluhu.
Nahisi cameroon ni moja ya timu rahisi kwenye michuano hii
 
Watu wanapenda football timu za South America wengine wametoka kwao na Beskeli kutizama timu zao WorldCup Brazil.
 
Hawa equador kama taifa stars tu, wameridhika mapema...
 
Bahraini wa Swiss akaokoa jahazi swiiiiiis inamnyanyua Bantu Lady Jana kapata Leo kapata siku hizi nitamsikiliza ilini win Betting Bantu lady wewe kiboko.
 
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%

Hivyo rangi yetu hii ni balaa.

Eq 1 - swi 2
 
daaaaa mtani hongera lakini nashukuru nimeokoa maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…