World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mwenendo wa equador sio mzuri, pale katikati wanatazamana badala ya kuchapa kazi.

Waswisi katikati wamepamiliki vema na wanachapa kazi, hii inawezapelekea kahawa kuchemka na kunywewa

Hawa ndugu zetu wanatabia kama zetu, kujisahausahau.
 
mwenendo wa equador sio mzuri, pale katikati wanatazamana badala ya kuchapa kazi.

Waswisi katikati wamepamiliki vema na wanachapa kazi, hii inawezapelekea kahawa kuchemka na kunywewa

hawa ndugu zetu wanatabia kama zetu, kujisahausahau.

jasiri haachi asili.
 
Inatakiwa wachape kazi kama walivyojaribu kama dk 4 za sasa.
 
hahahaha hawa vijana wataniulia mtani hawa daaa: duuu
 
Back
Top Bottom