Acha utahira wewe
Wa cameroon sio?
Leo watasahau hadi lugha yao maana wana hema tuu.Leo humu no bonsoir...Merci beaucoup etc etc...
lakini matangazo yao hayana "kuleta kombe la dunia"...View attachment 165101
lakini matangazo yao hayana "kuleta kombe la dunia"...View attachment 165101
Leo watasahau hadi lugha yao maana wana hema tuu.
WC 2014 ni moto daaa
Anacheza mieleka.Evra na yellow card mbona mapema hivyo
Wakuu game ishaanza. tuweke pembeni kwanza hizi story, tujadili mtanange. half time tutaendelea na hizo story.Anatibu presha wakati mwenyewe ana presha ya kujua atakula nini usiku....
Evra ana zawadiwa njano hapo pressure juu wakati mpira ndio umeanza.
Mtani Bantu lady, Hondurus wana shinDa hii mechi hama mapema mtani.
Leo watasahau hadi lugha yao maana wana hema tuu.
WC 2014 ni moto daaa