World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hadi sasa hakuna mechi iliyomalizika sare. A lots of come back winners karibia mechi zote.
 
Evra ana zawadiwa njano hapo pressure juu wakati mpira ndio umeanza.
 
BqMYQ9aCEAAoKcb.jpg
 
Anatibu presha wakati mwenyewe ana presha ya kujua atakula nini usiku....
Wakuu game ishaanza. tuweke pembeni kwanza hizi story, tujadili mtanange. half time tutaendelea na hizo story.
France wanaweza wakashangazwa leo.
 
Back
Top Bottom