Naona hii goal technology na yenyewe inatuchanganya tu.
mpaka sasa ban hainihusi endelea kuota 2-2.Ikitoka 2-2 nipe Life Ban
Hahahahaha na atapagawa sana mtani.wangu. Jana alilikana bara lake, leo akajipa undugu na bara la watu.
Mtani nimekaribia kurudi bara langu naona huku kuna mkono wa mtu daa.Hahahahaha na atapagawa sana mtani.wangu. Jana alilikana bara lake, leo akajipa undugu na bara la watu.
hii ni kumuibia benzema wazi...dah Fifa na teknolojia zao?....
Bora urudi nyumbani huku Honduras kavurugwa....Aisee nipe niongee na ronaldo
Ronaldo how r u how is ze game
Naelekea uwanjani bana sijafika
mpaka sasa ban hainihusi endelea kuota 2-2.
Hapana mpira umevuka na kipa kautolea ndani kama ume angalia replay ya pili. Wamejiandaa haiwezi goma.