Hatrick y kwanz in WC2014>BenZema
Hatrick y kwanz in WC2014>BenZema
Yah, lakini goli la pili amepewa.hahahaha utabiri wangu umetimia. benzema hat trick,,
Bado kidogo itatimia
Sababu France sport Yao kubwa ni Rugby wazungu na rafiki yangu France anasema wengi mpira wamiguu France wameanza kuchukia sababu ya black wengi ila sport ya taifa France ni Rugby ile 98 ndio imefanya wawe na mapenzi na football.
Yah, lakini goli la pili amepewa.
hakuna mshabiki wa honduras humu jamani, au mpo uvunguni....... teh teh teh teh
Alisema timu ya France imejaa weusi tu,ubaguzi mbaya jamaniKuna mwanasiasa(mzungu) aliwahi kusema ubaguzi huu kombe la dunia 2006 or 2010. Waache wapige kelele walidhani weusi tutabaki kuwa magarasa?