World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sababu France sport Yao kubwa ni Rugby wazungu na rafiki yangu France anasema wengi mpira wamiguu France wameanza kuchukia sababu ya black wengi ila sport ya taifa France ni Rugby ile 98 ndio imefanya wawe na mapenzi na football.

Kuna mwanasiasa(mzungu) aliwahi kusema ubaguzi huu kombe la dunia 2006 or 2010. Waache wapige kelele walidhani weusi tutabaki kuwa magarasa?
 
hakuna mshabiki wa honduras humu jamani, au mpo uvunguni....... teh teh teh teh
 
Kuna mwanasiasa(mzungu) aliwahi kusema ubaguzi huu kombe la dunia 2006 or 2010. Waache wapige kelele walidhani weusi tutabaki kuwa magarasa?
Alisema timu ya France imejaa weusi tu,ubaguzi mbaya jamani
 
Back
Top Bottom