Carseloi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 302
- 94
Ha ha ha ha ha ha Brazil jamani yerewii-goal la 3! Kiulaiiniii!!
Hehe watasema na ilo kabebwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha ha Brazil jamani yerewii-goal la 3! Kiulaiiniii!!
Sio uchawi mkuu.Mtafute Pasco wa Jf atakuelezakuna mchawi alikatiza humu akaropoka tatu moja hivi bado yupo au kalala
Vamos Brasil
Wachawi wamezidi humu hahahaaa
Sasa mpira umekwisha niliyosema yamekuwa
Sio uchawi huo ni utabiri niliutoa mwanzo
Sio uchawi huo ni utabiri niliutoa mwanzo
Yani mwanangu angepatikana mtu mmoja tu wakumsaidia Modric, hawa wabangu bangu wengeimba achimenengule.
Brazil atashinda 3-1
Nipo niende wapi tena hapa ndo home,hapo wamewaonea hao ngoja wakutane na wababe wenzao