Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Nilikuwa nasema,wabrazili wamefaidika kupeleka wachezaji ulaya mechi ya leo sikutegemea kuwaona wabrazili wakicheza mpira wa maguvu hivi na kuwadhibiti hawa wazungu wa ulaya.wamejikaza kweli leo,wangelegea tu,wangepigwa mechi hii.ile vita kwenye midfield pale inaonyesha brazil ni physical side as well.
Kocha Wa Brasilia Yuko vzr ata upangaji wake Wa kikosi Yuko vzr! Kwasababu timu inakua na uhai ata kwenye benchi! Sio ukipanga kikosi cha kwanza tu umejimaliza!