World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Penalty ya ajabu sana ile!Hii ni scandal kwenye ulimwengu wa soka!Modric na Rakitic walitawala dimba!!!
 
Hablo espanol y no portugués

Mkuu inaelekea hujaelewa kipi ulicho kiongea na kipi linicho kujibu. Wewe umesema "TWENDE BRAZIL" (Neneo VAMOS linamaana sawa ktk lugha zote Espanhol na Portuguese) Mimi nikakuuliza "MUENDE WAPI? NYINYI MWAKA HUU HAMNA TIMU, KAMA HAUAMINI NGOJA TUONE") Wala sikua namaana kua umekosea kuongea labda tu kama ulikua hujui kipi ukiaongeacho.
 
Yule refa hana kiwango kabisa cha kuchezesha World Cup otherwise labda alipewa maelekezo,kwa mpira wa jana Brazil anaweza kufungwa hata na England

Brazil hamfungi top seeds yyt ile!Hawana strategy wanajiendea tu mbele!Croatia wamenyimwa bao halali maana kipa wao hakumiliki ule mpira!

Manduhuzic leo angekuwepo ingekuwa balaa kwa Brazil!
 
Hablo espanol y no portugués

Mkuu inaelekea hujaelewa kipi ulicho kiongea na kipi linicho kujibu. Wewe umesema "TWENDE BRAZIL" (Neneo VAMOS linamaana sawa ktk lugha zote Espanhol na Portuguese) Mimi nikakuuliza "MUENDE WAPI? NYINYI MWAKA HUU HAMNA TIMU, KAMA HAUAMINI NGOJA TUONE") Wala sikua namaana kua umekosea kuongea labda tu kama ulikua hujui kipi ukiaongeacho. Tukirudi kwenye topic husika, Mashabiki wa Brazil mwaka huu musitegemee furaha kabisaa, kwajinsi walivyo cheza mchezo wa jana hawaonyeshi matumaini ya kubeba kombe ( labda la chai) wakija kukuta na wanaojua wenzao lazima watalia kihindi.
 
Laana toka mbinguni lamsubiri Dunga. Maneno hayo yaliandikwa na shabiki nambari moja wa Ronaldinho, yaani Gang Chomba a.k.a. shifta wakati wa kombe la dunia 2010 Sauzi. Hiyo ilikuwa baada ya kocha huyo kumtosa mchezaji huyo mkongwe aliyekuwa amekwisha kisoka.

Wengi tulitarajia nazi huyo atayarudia maneno hayo na kusema 'Laana toka mbinguni lamsubiri Scolari' wakati wa kombe hili la dunia la 2014. Lakini shabiki huyo ameufyata. Katulia tuli kama maji ya mtungi baada ya pengo hilo kuzibwa na wachezaji mahiri kama Oscar na Companero.

Maskini Ronaldinho, kama ilivyo kwa shabiki wake, amebakia zilipendwa. Sasa anakodisha jumba lake la kifahari kwa wadau wa Brazuka tulioko Brazili kucheki wenye viwango vyao wakisakata kabumbu. Kweli wachezaji huja na wachezaji huondoka, kwaheri Ronaldinho, karibu Neymar.
 
Wadau,

Naamini wengi wenu kama sio wote mlikuwa Brazil kwa muda kuangalia wenyeji Brazil wakipambana na Croatia. Mechi iliisha kwa Brazil kushinda na kufunga magoli matatu.
Kabla ya mechi kuna chipukizi walirusha njiwa watatu. Wale chipukizi ndio kamati yao ya ufundi nini? Njiwa watatu, magoli matatu. Inaelekea tunakosea hata kwenye kamati zetu za ufundi. Wakati umefika wa kuwakabidhi chipukizi kamati
H68qn7238ts_dH5VlJoqw2UvRi2sqvwyoR-nV3yedjXt8AJhoCR2QpB2_BtGK95CL90BN8fDLmWV2ZUVnxau05KsxYV2xwytrGdCCA=s0-d-e1-ft

Wakatabahu
 
Kila nabii na zama zake.....hakuna cha kushangaaa....hata Pele na Maradona ni watazamaji siku hizi

Kweli mkuu ila bado kuna mashabiki ni madinosari wa tendaguru, hawataki kulikubali hilo, wanaishi kwenye zama za mawe!
 
Unamdhiaki ronaldinho leo?...kila mtu ana wakat wake Dinho kang'aa Worl cup mbili 2002 na 2006 subiri uone kama hawa wa sasa unaowasifia watakuwa hivyo
 
sema kweli brazil imebebwa lakini nayo imebebeka, kumbukeni ghana kilichotokea mtu kazuia mpira uliokuwa unaingia lakini ikawa penalt badala ya golina penalt at the same time
 
Wadau,

Naamini wengi wenu kama sio wote mlikuwa Brazil kwa muda kuangalia wenyeji Brazil wakipambana na Croatia. Mechi iliisha kwa Brazil kushinda na kufunga magoli matatu.
Kabla ya mechi kuna chipukizi walirusha njiwa watatu. Wale chipukizi ndio kamati yao ya ufundi nini? Njiwa watatu, magoli matatu. Inaelekea tunakosea hata kwenye kamati zetu za ufundi. Wakati umefika wa kuwakabidhi chipukizi kamati
H68qn7238ts_dH5VlJoqw2UvRi2sqvwyoR-nV3yedjXt8AJhoCR2QpB2_BtGK95CL90BN8fDLmWV2ZUVnxau05KsxYV2xwytrGdCCA=s0-d-e1-ft

Wakatabahu

How do you rule out coincidence, we kesho utatafuta viungo vya albino ukianza kujielekeza kuamini hivyo, hayo!
 
Lakini sio vibaya tukahoji. Kwa nini njiwa 3 na zikafungwa goli 3? Mchangiaji mwingine amesema eti wale njiwa hawakuwa wa Brazil, walikuwa wa wapi?

Tiba
 
sasa we mwehu unataka kumfananisha gaucho na huyo zumbukuku neymer?mxiuuuuuu
 
Back
Top Bottom