Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
sasa we mwehu unataka kumfananisha gaucho na huyo zumbukuku neymer?mxiuuuuuu
Zilipendwa Gaucho alipokuwa na umri wa Dogo Neymar alifanya nini cha maana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa we mwehu unataka kumfananisha gaucho na huyo zumbukuku neymer?mxiuuuuuu
Katika ile mechi ya ufunguzi nadhani Oscar was the man of the match jinsi alivyoiokoa Brazil kwa mchezo wake!!
ndio mbolea ya leo...
Mkuu wengine hatuna kazi,ofisini ni humu humu Jf buku saba
sio kila mfanyakazi anakwenda kazini asubuhi.
Shtuka...
Ni kweli mkuu hakuna hata mmoja pale mwenye uwezo wa Dinho enzi zake hata kama watachukua kombe bado hawana mchezaji wa vionjo vya DinhoUnamdhiaki ronaldinho leo?...kila mtu ana wakat wake Dinho kang'aa Worl cup mbili 2002 na 2006 subiri uone kama hawa wa sasa unaowasifia watakuwa hivyo
Saa Moja kwa mda wa Tz. Watakuja kurudiana na Brazil so sidhani km watatoka salama
Nilitegemea wangetuunganisha ili tuone zile shamra shamra za ufunguzi lakini bahati mbaya wakaamua kuuza sura zao na kutupa porojo zao kama kawaida. Nadhani inabidi kubadilika kwani maana ya kuwa na kibali cha kuonesha mechi ni pamoja na shamra shamra zake si kungoja muda wa mechi kuanza.Watanzania hatuna budi kuwapa hongera TBC kwa uzinduzi mzuri walioufanya jana pale TBC garden na kuaaliaka watu mbalimbali kusherehesha uzinduzi wa KOMBE LA DUNIA 2014 - BRAZIL
HONGERA SANA....MMEONYESHA UKOMAVU.
TANZANIA YETU SOTE.
Dah ndugu yangu, unajaribu kumfananisha Gaucho wa umri wa Neymar na Neymar kweli?Zilipendwa Gaucho alipokuwa na umri wa Dogo Neymar alifanya nini cha maana?
Kumbuka mabingwa wa dunia Spain alichezea 3-0 pale pale mwaka jana kwenye kombe la mabara na timu hiyo hiyo.
nipe no. zao. tafadhaliSifahamu...wapigie
Kombe la Mabara sio issue mzazi!Kumbuka hata USA mwaka 2009 walitwaa kombe hilo na Misri kufika hadi nusu fainali!
Je USA wanaweza twaa World Cup?Je Misri anaweza hata ingia 16 bora World Cup?
Brazil hii niliyo iona jana hamfungi Spain popote pale World Cup labda wafanye huge over haul!
Kweli lakini mpira wa sasa tunakosa burudani ya Gaucho..Maana mimi napenda soka lenye mbwembwe na udambwi udambwi ndani yake. Ushindi muhimu lakin burudani ina umuhimu wake. Pumzika Gaucho mfalme wa udambwi udambwi.Laana toka mbinguni lamsubiri Dunga. Maneno hayo yaliandikwa na shabiki nambari moja wa Ronaldinho, yaani Gang Chomba a.k.a. shifta wakati wa kombe la dunia 2010 Sauzi. Hiyo ilikuwa baada ya kocha huyo kumtosa mchezaji huyo mkongwe aliyekuwa amekwisha kisoka.
Wengi tulitarajia nazi huyo atayarudia maneno hayo na kusema 'Laana toka mbinguni lamsubiri Scolari' wakati wa kombe hili la dunia la 2014. Lakini shabiki huyo ameufyata. Katulia tuli kama maji ya mtungi baada ya pengo hilo kuzibwa na wachezaji mahiri kama Oscar na Companero.
Maskini Ronaldinho, kama ilivyo kwa shabiki wake, amebakia zilipendwa. Sasa anakodisha jumba lake la kifahari kwa wadau wa Brazuka tulioko Brazili kucheki wenye viwango vyao wakisakata kabumbu. Kweli wachezaji huja na wachezaji huondoka, kwaheri Ronaldinho, karibu Neymar.
safi sana.yaah ni wapenzi wa soka
mmmh huo mwaliko ulizingatia vigezo gani?i....mbona hawakutangaza!!!
safi sana.