World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yuko wapi aliyeomba ban???? Wampe ya mwaka kabisaaaaa
 
Na mpira umekwisha Brazil 3 na Croatia 1
Haya yena wengine tunarudi makazini kwa furaha ya ajabu
 
Yani mwanangu angepatikana mtu mmoja tu wakumsaidia Modric, hawa wabangu bangu wengeimba achimenengule.


Teh Teh Teh achimenengule yero nzawise! Mama nzawise!
 
Kesho ni kesho, akina Moting, Song, Eto'o & Co
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…