World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

. Nakubaliana kidogo kwenye Penalt ila pia Freekick ni nyingi zitaleta ubishi kwa kila kitu mkuu wengi tunajuwa football ya Leo haiko fair Kama zamani Mie kitu kimoja tu football ndio nataka ibadilike ni Added time ikiwa 4 basi ile 4 ikifika kulie Kama Basketball hata mpira ukiwa unaenda golini ikilia uishe iishe goli wasihesabu fikiria zamani goli kipa anarudishiwa anadaka ila Sekunde mbili tu kaurudisha kati unaifikiria siku hizi waseme WAMRUDISHie kipa udake utarudishwa kati mapema? Kama si baada dk 2 mpira umebadilika mtu anagongwa anaruka Kama kajambishwa! Ila Oscar Leo kakipiga.
 
BAK hebu tuokee kile kigongo cha kufungulia.....ole oleeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Pazi tuamshane alfajiri......alhamsik
 
Last edited by a moderator:
. Nakubaliana kidogo kwenye Penalt ila pia Freekick ni nyingi zitaleta ubishi kwa kila kitu mkuu

Impact ya penati na frii kiki ni tofauti kabisa.

Kwa hiyo hoja yangu inasimama pale pale, kwamba, kwenye game changing calls (read: penalty kicks) ni muhimu na lazima kuwepo na 'confirmation review' ili kuhakiki na kuleta fairness.

Penati si call ambayo hutolewa mara 10 katika mchezo mmoja. Huyo jamaa wa leo ka-dive ndani ya penalty box na refa hakuwa mbele yake kushuhudia.

Sasa kuna ubaya gani kama kukiwa na temporary stoppage ili tu kuhakiki huo uamuzi wake ambao unaweza kuathiri matokeo ya mchezo.

Kubali tu kuwa FIFA ni wagumu sana kubadilika. Hiyo goal line tech yenyewe usikute leo isingekuwepo kama si marefa ku-blunder hovyo 2010 kule SA.

Jinsi ambavyo ligi za Marekani zilivyo adaptable, siku hizi NBA wanatoza faini kwa floppers, jambo ambalo halikuwepo zamani.

Kuna umuhimu wa FIFA nao kwenda na wakati.
 
kesho spain na uholanzi saa nane usiku,hii balaa,hapo lazima niangalie mexico na cameroon,nitaweza kweli kuunganisha?
 
Brazil watafika mbali sana timu imeamka sana ilikua imekufaaaaaa
Mbali wapi tena mechi moja tu,wajerumani umeshawaona,argentina, spain, Italy mziki wao umeuona ngoja tusubiri hapa hapa tutakuwa tuna kutana jumamosi mzigoni italy na england ndo tutaanza kuongea
 
Nilikuwa nasema,wabrazili wamefaidika kupeleka wachezaji ulaya mechi ya leo sikutegemea kuwaona wabrazili wakicheza mpira wa maguvu hivi na kuwadhibiti hawa wazungu wa ulaya.wamejikaza kweli leo,wangelegea tu,wangepigwa mechi hii.ile vita kwenye midfield pale inaonyesha brazil ni physical side as well.
 
Mpaka sasa barcelona ina goli 2 madrid 1 na chelsea 1 katika fifa world cup!
 
Mbali wapi tena mechi moja tu,wajerumani umeshawaona,argentina, spain, Italy mziki wao umeuona ngoja tusubiri hapa hapa tutakuwa tuna kutana jumamosi mzigoni italy na england ndo tutaanza kuongea

Hapo spain kdg ndo umenishtua btw spain pia mfuasi wao lol....tuoneeeee itakuaje ila brazil leo imentia moyo wacha nkalee marcelo alintia joto la roho lol
 
Ntaenda kuchema kwa baba nchungaji afute wewe uchirika,unaimba nchawiche eeh?



Ha ha ha ha ha haa! Mkuu usiende kunsemea huko bhana! Kitoabu kasababisha yote hayo!

Upo lkn Mkuu? Mbona hatuonani Kule kwetu?
 
Last edited by a moderator:
kesho spain na uholanzi saa nane usiku,hii balaa,hapo lazima niangalie mexico na cameroon,nitaweza kweli kuunganisha?

Waturuhusu kuingia ofisini saa sita jamani.mwezi mmoja tuu!
 
Mbali wapi tena mechi moja tu,wajerumani umeshawaona,argentina, spain, Italy mziki wao umeuona ngoja tusubiri hapa hapa tutakuwa tuna kutana jumamosi mzigoni italy na england ndo tutaanza kuongea
hao wabrazil wajiandae tu kwa maandamano
 
Pazi itabidi unilipe... ulinishawishi kuamini kuwa Croatia itashinda leo..... nimekwenda bookies wamekula hela yangu

Kuanzia sasa wewe na rubaman siwasikilizi tena .... nitakuwa ninasikiliza ushari wa Dr Licky tuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…