Wengine tuliyajuwa zamani ya PEPE.Uzuri wa ujerumani ukicheza football anacheza football ukileta unyama yeye Mnyama zaidi mpira wa Fujo beki zao ni kiboko Pepe Leo tunasubiri arushe ngumi.
Jaman mie leo portugal
Ronaldo anaanza kupaniki muda si mrefu
PEPE OUT, Red card
PEPE mvuta bangi kama pogba
Wananiudhi acha tu
Ila tunashinda tu