World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pepe majanga,kile kichwa hakikuwa na sababu kabisa.
 
Uzuri wa ujerumani ukicheza football anacheza football ukileta unyama yeye Mnyama zaidi mpira wa Fujo beki zao ni kiboko Pepe Leo tunasubiri arushe ngumi.
Wengine tuliyajuwa zamani ya PEPE.
 
Cristiano Ronaldo anatamani aanzishe nchi yake kabisa atoke kivyake.
 
Mechi imeharibika tayari!Referee toka awali nilisema alikuwa so bias
 
Pepe kwa heri ya kuonana hiyo, portugal itabd wafanye sacrifice ya mchezaji mmoja.
 
Back
Top Bottom