World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pepe na Refa watalalamikiwa sana hadi wakome.
Nimeona kabisa mchezaji bora wa haya mashindano anaweza kuwa Neymar, hana mpinzani hadi sasa
 
Raul Meireles baada ya pepe kupewa kadi. Bangi wanavuta kama hewa itakuwa. Na wakipima hazionekani.

 
Aisee Skype mzima lakini?bado kidogo tukutane dodoma kwenye BLK ngoja tumalize world cup mkuu

Endapo tu serikali itakubali kujadili maoni yetu na si maoni ya lukuvi.
BTW tuendelee na gemu, kama kawa Muller and Ozil make the most of today
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pepe ni lijing.a sana lipo kama lichezaji la Abajalo FC

Dah! Hujakosea kabisa! Uwa namwambia Mphamvu kuwa Abajalo ni timu ya wavuta bange na wakabaji wa Sinza Makaburini na kwa Remmy! Pepe ndiye mfano wao halisi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie naamini leo hawa watu watajuta hayo magoli maana Cristiano nae sidhani kama atacheza muda wote anaogopa sana kuumia huyu mtu
Nadhani Ronaldo sio kuwa anaogopa kuumizwa atakuwa ni majeruhi tayari.
 
HT stats: #GER 3 – 0 #POR
Possession 55% - 45%
Shots 8 – 6
On target 4 – 2
Fouls 2 – 8
 
Pepe anatakiwa akapimwe akili maana nahisi hayuko sawa, sisi tuko nyuma afu yeye analeta mchezo hivi alidhani wao ndo wako mbele?
Au huyi pepe alijua muda umeisha?
Ningekuwa na uwezo ningemchapa kofi
 
kipindi cha pili kinakwenda kuanza Ronaldo ana huzuni sana.
 
Jens Lehmann: spain no longer major force and will not stand in Germany's way to win world cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…