Shakazulu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 957
- 281
Wa kumchukia ni Refa chief...Hakukuwa na sababu ya kumpa Red Pepe..
Du! Hivi inaruhusiwa kufanya alichofanya Pepe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kumchukia ni Refa chief...Hakukuwa na sababu ya kumpa Red Pepe..
Jamaa atapewa tu shirt ila mpaka sasa atakosa yote T-shirt na Irina.![]()
Hhahaha Ronaldo ana kazi.
Aisee Skype mzima lakini?bado kidogo tukutane dodoma kwenye BLK ngoja tumalize world cup mkuu
Naomba kuuliza tena, hivi Ronaldo feki yupo uwanjani?
Nadhani Ronaldo sio kuwa anaogopa kuumizwa atakuwa ni majeruhi tayari.Yaani mie naamini leo hawa watu watajuta hayo magoli maana Cristiano nae sidhani kama atacheza muda wote anaogopa sana kuumia huyu mtu
5pain tena na sio Ureno?Spain watafungwa mengi match hii.
Leo natabiri 8 bila, Ronaldo leo aibu anayo!
5pain tena na sio Ureno?
ameshajikatia tamaa tayari.....View attachment 165294kaza dogo usikimbie gemu hilo ni kombe la dunia sio ligi