World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi alikuwa anamwomba samahani au alimtukana ila kama vipi refa angekausha tu kubalansi gemu
 
Yaani mie naamini leo hawa watu watajuta hayo magoli maana Cristiano nae sidhani kama atacheza muda wote anaogopa sana kuumia huyu mtu
Hapana wala haogopi kuumia uwezo mdogo mbele ya Ujerumani, timu ya Ureno hawaiwezi Ujerumani tusimtafutie kivuli Ronaldo,
 
Ghana itatembeza kichapo kwa ureno.. kundi hili Ghana na german wanasonga mbele
 

Hata mimi binafsi sijapenda kitendo cha Pepe kumzonga Muller kwa kichwa...Kwa muono wangu angempiga alistahili straight Red card mkuu, tukio kama hili hutokea mara nyingi lakini wahusika huishia kupewa Yellow card...Ukimuangalia Muller baada ya tukio la Pepe kupewa Red anaonekana kabisa nafsi inamsuta mkuu..

Huu mchezo ulikuwa mzuri sana lakini Refa kauharibu kwa kumpa Red Pepe..

All in all ni kwamba Ureno huwa haina bahati ya Euro na WC...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…