World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ImageUploadedByJamiiForums1402938163.713569.jpgHivi alikuwa anamwomba samahani au alimtukana ila kama vipi refa angekausha tu kubalansi gemu
 
Yaani mie naamini leo hawa watu watajuta hayo magoli maana Cristiano nae sidhani kama atacheza muda wote anaogopa sana kuumia huyu mtu
Hapana wala haogopi kuumia uwezo mdogo mbele ya Ujerumani, timu ya Ureno hawaiwezi Ujerumani tusimtafutie kivuli Ronaldo,
 
Mkuu naomba kutofautiana, Pepe kaitafuta red card mwenyewe, ile ya kwanza ya Muller kujiangusha ni sawa kabisa, Muller angepewa kadi ya njano lakini kitendo cha pepe kumfuata Muller pale chini na kutaka kumpiga kichwa kinastahili kadi nyekundu X2, alikua na haja gani kufanya vile?

Hata mimi binafsi sijapenda kitendo cha Pepe kumzonga Muller kwa kichwa...Kwa muono wangu angempiga alistahili straight Red card mkuu, tukio kama hili hutokea mara nyingi lakini wahusika huishia kupewa Yellow card...Ukimuangalia Muller baada ya tukio la Pepe kupewa Red anaonekana kabisa nafsi inamsuta mkuu..

Huu mchezo ulikuwa mzuri sana lakini Refa kauharibu kwa kumpa Red Pepe..

All in all ni kwamba Ureno huwa haina bahati ya Euro na WC...
 
Back
Top Bottom