MmmmhGhana itatembeza kichapo kwa ureno.. kundi hili Ghana na german wanasonga mbele
Cristiano Ronaldo asipoangalia ataondoka Brazil bila goli.
Hata mimi binafsi sijapenda kitendo cha Pepe kumzonga Muller kwa kichwa...Kwa muono wangu angempiga alistahili straight Red card mkuu, tukio kama hili hutokea mara nyingi lakini wahusika huishia kupewa Yellow card...Ukimuangalia Muller baada ya tukio la Pepe kupewa Red anaonekana kabisa nafsi inamsuta mkuu..
Huu mchezo ulikuwa mzuri sana lakini Refa kauharibu kwa kumpa Red Pepe..
All in all ni kwamba Ureno huwa haina bahati ya Euro na WC...
Pole kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo....
Hairuhusiwi...Du! Hivi inaruhusiwa kufanya alichofanya Pepe?
Wana mtegemea sana.Inaelekea Portugal walipewa maelekezo ya kumpasia CR7 tu na sio kucheza mpira
Kuifunga ujerumani
Wanahitaji plan B,C,D.............