World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani ngoja nikale na kulala tu maana hawaeleweko hawa wareno
 
Cristiano Ronaldo asipoangalia ataondoka Brazil bila goli.
 
Inaelekea Portugal walipewa maelekezo ya kumpasia CR7 tu na sio kucheza mpira

Kuifunga ujerumani

Wanahitaji plan B,C,D.............
 
Tuangalia na majina ya kuwapa watoto. Wewe unamuita mtu Pepe unategemea nini. Akikua yanakuwa mengi, Mapepe.
 
Refa mjinga sana, Pepe mjinga zaidi, Ureno sijui hata niwaiteje mpira unaishia golini kwao tu huko pengine hauendi
 
Huyu lines man hayupo makini. Ureno wanakosa goli na replay inaonye kulikuwa na offside lakini linesman hakunyosha kibendera. Still 3-0
 
Hata mimi binafsi sijapenda kitendo cha Pepe kumzonga Muller kwa kichwa...Kwa muono wangu angempiga alistahili straight Red card mkuu, tukio kama hili hutokea mara nyingi lakini wahusika huishia kupewa Yellow card...Ukimuangalia Muller baada ya tukio la Pepe kupewa Red anaonekana kabisa nafsi inamsuta mkuu..

Huu mchezo ulikuwa mzuri sana lakini Refa kauharibu kwa kumpa Red Pepe..

All in all ni kwamba Ureno huwa haina bahati ya Euro na WC...

Mimi nadhani hizo lawama ungempelekea Pepe kwa kucheza ujinga, Refa alichofanya ni kuzingatia nidhamu ya mchezo tu.!
 
Lots of empty seats after the second half starts

BqRGgk-CcAAcWzX.jpg
 
Du! Hivi inaruhusiwa kufanya alichofanya Pepe?
Hairuhusiwi...

Sio kila kosa ni la kutoa Red Card...Pepe hajampiga kichwa Muller, amemzonga akitishia kumpiga kichwa kosa ambalo angepewa yellow card tu...
Na Muller baada ya kuzongwa amejiangusha as if amepigwa kichwa kweli..

Ladha ya game imepotea...
 
Kiwango cha Nani kila siku kipo vile vile hakipandi,
 
Thomas Muller almost gets his hat-trick. This is getting ridiculous
 
Unajua ili Ghana iwe katika hali nzuri inabidi Ujerumani ashinde tuu hii game ili Ghana igombanie hiy nafasi moja.
Tatizo timu zetu za Afrika nazo hazitabiriki, wanaweza baadaye wakapoteza mechi au wakadroo pasipo kutarajia.
 
Back
Top Bottom