World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi ndio kweli sina mwenzangu leo isijekua mmehamia ujeruman kwa kuwa wameshinda waoneee
 

Hivi tunaangalia the same game?
 
Uwezo wa Germany ndo huu...anaua tempo yako yote ss unacheza mpira wake anakugonga taratiiiiiiiiiib
 
Joy Barton:From pepe.that is supreme, madness.
R.Ferdinand:That is stupid.
 
Jamani teamportugal mbona mmekimbia? Njooni bana mmalizie dakika zenu
 
Unajua ili Ghana iwe katika hali nzuri inabidi Ujerumani ashinde tuu hii game ili Ghana igombanie hiy nafasi moja.
Tatizo timu zetu za Afrika nazo hazitabiriki, wanaweza baadaye wakapoteza mechi au wakadroo pasipo kutarajia.

Yaani mkuu unategemea matokeo ya timu nyingine ndio yatubebe? Wacheze washinde na marekani hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…