Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hairuhusiwi...
Sio kila kosa ni la kutoa Red Card...Pepe hajampiga kichwa Muller, amemzonga akitishia kumpiga kichwa kosa ambalo angepewa yellow card tu...
Na Muller baada ya kuzongwa amejiangusha as if amepigwa kichwa kweli..
Ladha ya game imepotea...
Mapenzi na CR7 yamemzidi. haoni.Hivi tunaangalia the same game?
Hivi tunaangalia the same game?
Portugal atapita kundi hili
Wewew mbona unashabikia timu zinazo fungwa jamani.....poleeeeHivi ndio kweli sina mwenzangu leo isijekua mmehamia ujeruman kwa kuwa wameshinda waoneee
Unajua ili Ghana iwe katika hali nzuri inabidi Ujerumani ashinde tuu hii game ili Ghana igombanie hiy nafasi moja.
Tatizo timu zetu za Afrika nazo hazitabiriki, wanaweza baadaye wakapoteza mechi au wakadroo pasipo kutarajia.