Hata sijui...
Ofcourse akimfunga Nigeria na Iran anapita
Nigeria na irani?huyu yupo kundi moja na GHANA na USAOfcourse akimfunga Nigeria na Iran anapita
Mapenzi na CR7 yamemzidi. haoni.
Wewew mbona unashabikia timu zinazo fungwa jamani.....poleeee
Viol anataka kutudanganya.Nigeria na irani?huyu yupo kundi moja na GHANA na USA
Umekosea mkuu kundi lake kuna Ghana na USA
Jamani teamportugal mbona mmekimbia? Njooni bana mmalizie dakika zenu
Ofcourse akimfunga Nigeria na Iran anapita