World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na muunga mkono Balantanda!

Muller ni msanii sana wala hajapigwa zaidi ya kutishiwa
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi na CR7 yamemzidi. haoni.

I see...

Una uhakika na unachokiongea?..

Tunapoangalia mpira kila mtu ana mtazamo wake Chifu...Si kila mtu anawaza unavyowaza wewe..Kwangu mimi sikuona sababu ya Refa kutoa straight Red card kwa Pepe...Angetoa yellow card tu ingetosha...
 
BqRJRtHCIAAxgj7.jpg
 
Kwa mpira wa German na ureno kama Ghana akiwa kwenye ule ubora wa 2010 WC hakuna timu ya kumfunga
 
Yaani mkuu unategemea matokeo ya timu nyingine ndio yatubebe? Wacheze washinde na marekani hakuna kingine.
sokwe hawa Ghana HAWAMFUNGI Mnyamwezi!Tupo hapa na utaniambia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom