World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii muller anaandika historia ya kuondoka na mpira world 2014
 
La #4 basi tena. Nimeshasema hakuna cha Ronaldo wala Ureno, mambo yote Ujerumani.
 
Chifu...

Kuna kitu unamiss hapa...

Hakuna sehemu nimefurahia alichokifanya Pepe..

Pitia upya video ya tukio zima utaona kwamba ni kweli Pepe alifanya kosa..Lakini halikustahili straight Red card...Angempa yellow tu ingetosha...

Muller kafanya usanii baada ya kuguswa na Pepe na Refa akaingia mkenge...

BTW..Haya ni mawazo/mtazamo wangu tu Chifu...Unaweza ukayapotezea tu kama unaona hayana mashiko....

Tuendelee kutazama mtanange Chifu...

Kwa mara ya kwanza nakubaliana nawe katika soka.

Pamoja na bange za Pepe, Muller alifanya usanii sana..

Anyway, Ujerumani mpira wao wa kawaida sana...hata 5pain anaweza wapiga hawa...

#teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana
 
Wale mabeki badala ya kumzuia muller wamebaki wanamshangaa tu anavyopiga mpira na kuukwamisha kimiani.....
 
Back
Top Bottom