World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ImageUploadedByJamiiForums1402940457.885776.jpgsio bongo tu hata brazili ni wakumwaga
 
Podolski ndani muller nje........huyu aliyeingia naye ana goli lake.
 
Hii ni hattrick ya pili tangu kumbe la dunia lianzishwe - fact
 
Stupid hat-tric hii mipira ya kubebwa haina mvuto

Wamebebwa nini? Thomas Muller kapiga kipa hajadaka, ni goli!!! Ulitaka refa atoe penalty kwa Ureno, bado ingekuwa ni 4-1! Ujinga wa Pepe umewagharimu, na by the way Ureno mpira wao hautishi labda game zijazo. Hata Ujeruman mpira wanaocheza nao siyo mkali kivileee
 
Pamoja na kubebwa kwa wajerumani lakini walistahili.....pepe kawauwa wenzake kwa ujinga wake.
 
Back
Top Bottom