Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaLa nne ila wanajijua kama wanabebwa na hawana lolote
Muller ndo mfungaji bora
Stupid hat-tric hii mipira ya kubebwa haina mvuto
vyombo vya habari vinawapaisha watu wengine wasiofaa.La #4 basi tena. Nimeshasema hakuna cha Ronaldo wala Ureno, mambo yote Ujerumani.
Mtani leo German wamekula kichuri.
Hivi Benzema jana alifunga mangapi?Naona Ufungaji bora unaenda Germany au Holland
Muller ndo mfungaji bora
Hata kufurahia magoli hawana furaha kiivo
Stupid hat-tric hii mipira ya kubebwa haina mvuto
Hat trick ya kwanza