World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii muller anaandika historia ya kuondoka na mpira world 2014
 
La #4 basi tena. Nimeshasema hakuna cha Ronaldo wala Ureno, mambo yote Ujerumani.
 

Kwa mara ya kwanza nakubaliana nawe katika soka.

Pamoja na bange za Pepe, Muller alifanya usanii sana..

Anyway, Ujerumani mpira wao wa kawaida sana...hata 5pain anaweza wapiga hawa...

#teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana
 
Wale mabeki badala ya kumzuia muller wamebaki wanamshangaa tu anavyopiga mpira na kuukwamisha kimiani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…