Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
hahahaha,ni hatariiii,leo alfajiri ivory coast.wanaweza shinda
Natuma thalamu kwa baba yangu nchachi, mama yangu nchanchi, dada yangu nchanchi, kaka yangu nchanchi, chemeji yangu nchanchi, njomba wangu nchachi, changaji yangu nchachi, naomba kupigia nyimbo ya chenti anchini.tuma salamu kwa watu watatu
Aelekee wapi?Huuu ni upuuzi sana ila naamini Portugal atapita
Stupid hat-tric hii mipira ya kubebwa haina mvuto
Wakuu mimi hapa tumbo joto, Afrika hasa Nigeria tutoka kweli mbele ya hawa Warabu Iran?
mimi npo #teamnyuklia mixer sembe
Mkuu hapa nina mashaka kidogo
mategemeo yangu makubwa ni kwa Ghana na Algeria, wakipigwa hao basi sina timu nyingine ya bara letu.
Hivi Benzema jana alifunga mangapi?