World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

tuma salamu kwa watu watatu
Natuma thalamu kwa baba yangu nchachi, mama yangu nchanchi, dada yangu nchanchi, kaka yangu nchanchi, chemeji yangu nchanchi, njomba wangu nchachi, changaji yangu nchachi, naomba kupigia nyimbo ya chenti anchini.
 
10473416_448271521976982_3690256483642725139_n.jpg
 
Wakuu mimi hapa tumbo joto, Afrika hasa Nigeria tutoka kweli mbele ya hawa Warabu Iran?
 
Wakuu mimi hapa tumbo joto, Afrika hasa Nigeria tutoka kweli mbele ya hawa Warabu Iran?

mategemeo yangu makubwa ni kwa Ghana na Algeria, wakipigwa hao basi sina timu nyingine ya bara letu.
 
Eins, zwei, drei und vier...thats how we count from one to four in german...congrats to das mannschaft shame to the portuguese...!!
 
Nigeria wapo vizuri,hope watashinda,sipati picha Davido yupo mbele ya ITV anajiandaa kucheki soccer
 
Kila la kheri the eagles,Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Nigeria,Mungu ibariki Tanzania angalay na sisi siku moja tushiriki finaly za kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom