World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


kweli iran wametulia kwenye ulinzi.....
 
Yani Nigeria wanaanza ujimga wa Taifa stars.
 
hii mechi nimekosa uhondo,chanel haionyeshi inaonyesha ya majogoo
 
Yani Nigeria wanaanza ujimga wa Taifa stars.
mpira wetu wa kiafrika una tofauti sana na wa wazungu,wazungu hata kama wanachemka unaona idea ya mchezo ila sisi puuh puh puh hamna ta move za maana.
 
Facts: Kwa wale wasiojua, Nigeria ndio timu pekee ya Afrika inayoongoza kwa kukatisha tamaa mashabiki wake!.....
 
Nilijua mpaka sasa nigeria watakuwa wanaongoza kwa goli nyingi tu, kumbe watu wenyewe hawana mipango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…