World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nigeria kwa mchezo huu anatoka patupu bila point.
Hawako strategically kupata ushindi zaidi ya kukimbia kwa kasi na Mpira lkn huko wanakokimbilia naona hawaelewi ni wapi wanakwenda
 
Breaking News!

Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....

Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....

Wenu #TeamIran

Lengo lako nini na post zako za kipuuzi hivi.?
 
Hawa wapopo wasitupe presha wengine, mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna bao.
Wanajirushia tu mpira hawana mikakati mizuri, ya kujipanga ili wazae bao. Washachoka na miili yao, ole wao watoke hapo bila kufungana.
 
Yani hawa wakina Davido wanashindwa vip kufunga magoli na wakat Iran wepesi kabisa.
 
Breaking News!

Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....

Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....

Wenu #TeamIran
Kama ni kweli basi watakuwa wamefanya timing nzuri kwa serikali yao,
ila haimake sense itakwaje waanze mechi halafu wasusie half time.
 
Breaking News!

Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....

Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....

Wenu #TeamIran

Mkuu Tume ya Katiba umepotesa sana jukwaani

Alafu kwann ushabikie Iran?
 
Last edited by a moderator:
Butua butua tu mimi sijaona bado walah na hii timu ya nigeria ikikutana na colombia inakandamizwa bao kumi yaani jamaaa wanacheza na vibooonde lakini wanashondwa kuitumia fursa.
 
Hawa wapopo wasitupe presha wengine, mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna bao.
Wanajirushia tu mpira hawana mikakati mizuri, ya kujipanga ili wazae bao. Washachoka na miili yao, ole wao watoke hapo bila kufungana.

Hahahahah chezea iran weye enhee
 
Mtani leo mara yangu ya mwisho kushangilia Nigeria wasije wakanipa pressure! Kufunga hawajui.
 
Iran hadi halftime inatakiwa ifungwe hata bao 3 ili huko chumbani waloe kabisa!Draw hadi sasa inawapa mori huko vyumbani kama likely tunaweza pata point hapa
 
Nigeria hakuna wafungaji.Eminike hawezi kufikia kiwango cha Samatta.
 
Hebu Naijeria waache ujinga wa kukimbia ovyo kama mbwa mwizi, tunachotaka ni magoli tu na sio kingine.
 
Back
Top Bottom