Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Breaking News!
Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....
Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....
Wenu #TeamIran
Huu mpira hata siuelewi....
Kama ni kweli basi watakuwa wamefanya timing nzuri kwa serikali yao,Breaking News!
Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....
Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....
Wenu #TeamIran
Lengo lako nini na post zako za kipuuzi hivi.?
Breaking News!
Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....
Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....
Wenu #TeamIran
Kinachonikera Nigeria wakifika chumbani kwa iran wanarembua mno
Kwani nawewe hapa unafanyaje? walewale
Hawa wapopo wasitupe presha wengine, mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna bao.
Wanajirushia tu mpira hawana mikakati mizuri, ya kujipanga ili wazae bao. Washachoka na miili yao, ole wao watoke hapo bila kufungana.