World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nigeria wameanza kuonyesha ujinga wa mpira wa kiafrika.
Yani wanazingua kishenzi. Yani mpaka sasa wanacheza bampingi tu. Yani mpaka hawa wehu wanawatoa kijasho cha m. K. u. n. d. u.!
 
Breaking News!

Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....

Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....

Wenu #TeamIran
 
Nigeria ni kama wanakamilisha ratiba sio kutafuta ushindi.
 


Hahahaa na wasirudi iran watacheza peke yao
 
Bora nilale kidogo, nisubili gem ya Mmatumbi & Mnyamwezi. Hawa Nigeria wananirushia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…