World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii game yaNigeria nadhani hata stars ya kina samatta inakuwa na kiwango kizuri zaidi dah....soka halivutii hata kidogo!
 
Sasa nimeshajua tatizo lipo wapi

ATTEMPTS IRA NGA
[TABLE="class: table statistics-block, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]4[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]5[/TD]
[TD="class: right-shld, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]3[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]ON-TARGET[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]1[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Wabongo mnashangaza sana sijui kwanini huwa mnawadhihaki wachezaji kiafrika wakiomba kuhakikishiwa posho zao. Kama ni suala la uzalendo nyie viongozi wa kisiasa ndo mngekuwa mfano kwa kuwatumikia waafrika wenzenu bila mishara badala ya kujifungua chemba na kuanza kupangiana mishahara minono na muda wa kuongoza ukiisha mnanga'ng'ania madarakani. Leo wachezaji wakiomba posho inakuwa kesi!
 
Pamoja na Nigeria kumiliki mpira zaidi ya Iran, usije ukashangaa matokeo ya mwisho yanasoma:
Iran 1: Nigeria 0.
 
Ila mimi naona makosa mengi ni ya kocha.
...hawajafundishwa ku attack
 
Hili gemu vipi, ndo naanza kuliangalia, sikuangalia dk 59 za mwanzoni. Naona wengi mmekatishwa tamaa na Nigeria, kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…