Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka mashindano haya yaanze, hii ndio mechi mbovu sana
Breaking News!
Huenda wachezaji wa Nigeria wakagoma kurudi kipindi cha pili endapo hawatapewa uhakika wa kulipwa posho zao wanazoidai serikali ya NIGERIA........Stay turned....
Kuna majadiliano yanaendelea baina ya wachezaji na viongozi wa timu pamoja na wawakilishi wa serikali.....
Wenu #TeamIran
Mechi haina ladha kabisa.