Magoli mengine unabakia huna lakusema
Hali ngumu mpendwa,hapo wameshavurugwa kisaikolojia,kurudisha na kushinda itakuwa ngumuUsiende mamiii...yaani nimepata headache ghafla but najitutumua tu
Sijacheki ilikuwa ni sekunde ya ngapi ila rekodi ya Kombe la Dunia ni sekunde 11 iliyowekwa huko South Korea mwaka 2002 na Hakan Sukur.Fastest Goal katika Wolrd Cup ever I think.
Sasa sisi kama tukifungwa si bora tuondoe timu tuu?Hizi timu za africa ni kichefuchefu sana
Fastest Goal katika Wolrd Cup ever I think.
duuu yule Mganga wao kawaroga.
Aisee kuna timu za kusemea,ila huyu Manager Klinsman atakuwa kawakoach vizuri sana hawa USA,ukichanganya na ile hasira ya kutolewa na Ghana kule South,basi leo kazi ni moja tu ushindiMpira dk 90 Victoire, usivunjike moyo kwa goal moja tu, tuwape benefit of a doubt vijana wetu
#GoGhanaGo
Fastest Goal katika Wolrd Cup ever I think.
Hizi sidiria walizo vaa ndio chanzo cha kufungwa.Mweeeeeh
Hali ngumu mpendwa,hapo wameshavurugwa kisaikolojia,kurudisha na kushinda itakuwa ngumu
Mtani bado umelala? Leo niko Ghana.
Hali ngumu mpendwa,hapo wameshavurugwa kisaikolojia,kurudisha na kushinda itakuwa ngumu
Mimi naona wachezaji wetu wanatumia sana haya mashindano kuonyesha style za nywele maake wao ndo viduku sijui nini haya mambo kwa wajerumani na waholanzi sijaona kabisa. Kuna uwezekano akili za wachezaji wetu zinafikiri mambo mengine kabisaaa kuliko hata uwanjani. Na wakiwa uwanjani basi tu. Ili mradi liende.
Naona tupo kwenye vitu visivyo na tija kabisa ambavyo kwa mtu mwenye akili huwezi kuhangaika navyo wao sio wacheza Mziki na wala sio wana mitindo. Chunguzeni mtaona tu. Angalia wamarekani hapo afu angalia na wa kwetu.