World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi naona wachezaji wetu wanatumia sana haya mashindano kuonyesha style za nywele maake wao ndo viduku sijui nini haya mambo kwa wajerumani na waholanzi sijaona kabisa. Kuna uwezekano akili za wachezaji wetu zinafikiri mambo mengine kabisaaa kuliko hata uwanjani. Na wakiwa uwanjani basi tu. Ili mradi liende.
Naona tupo kwenye vitu visivyo na tija kabisa ambavyo kwa mtu mwenye akili huwezi kuhangaika navyo wao sio wacheza Mziki na wala sio wana mitindo. Chunguzeni mtaona tu. Angalia wamarekani hapo afu angalia na wa kwetu.
 
sasa huyu kocha wa ghana kwanini hajamuanzisha KEVIN-PRINCE BOATENG????!!!! ACHA WAFUNGWE ATIE AKILI!
 
Na ubinafsi pia wa kutaka kuonekana ili apate ajira majuu. Ghana wana timu nzuri wakitulia wanaweza kushinda game hii.

Back
Top Bottom