World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana ndo better team mechi nzima nashindwa kuelewa wanashindwaje kusawazisha hili goli?
 
Wanapaisha juu waone hilo kosa, wajaribu kupeleka mikwaju ya kati hata kipa ashindwe kudaka. Kuliko kupaisha juu sana, sasa hivi tungekuwa tunahesabu tu magoli.
 
Leo ndio mara yangu ya kwanza kuona golikipa anavuja jasho.Howard kipara kinang'aa jasho
 
Mi nafikiri angalau hata Misri ingefuzu, kidogo ingeleta changamoto safari hii. Sasa tegemeo letu ni Ivory Coast hao wengine ni sindikiza tu.
Africa tram yangu ni algeria wale mpira wanaujua..
 
Hii mechi ndio iliyonigusa zaid toka michuano ianze, kwa matokeo haya pengine ndio yatakayo niuma zaidi kwenye michuano hii.
 
umeona influence ya Boateng kwa dakika chache tu....USA sasa wana headaches mbili hapo mbele BOATENG NA GYAN

Kama huyu Kocha angekua na akili nzuri huu ndio muda wa kuwaingiza wakali waliopo bench or else wamarekani watapata confidence huku waghana wakipoteza matumaini ya kusawazisha
 
Essien anaingia labda atafanya kitu akisaidiana na Boateng pamoja na Gyan.
 
Back
Top Bottom