Africa tram yangu ni algeria wale mpira wanaujua..Mi nafikiri angalau hata Misri ingefuzu, kidogo ingeleta changamoto safari hii. Sasa tegemeo letu ni Ivory Coast hao wengine ni sindikiza tu.
Ghana ndo better team mechi nzima nashindwa kuelewa wanashindwaje kusawazisha hili goli?
Hahaha itabidi tutabir mechi ijayo 34 minutes yo go
umeona influence ya Boateng kwa dakika chache tu....USA sasa wana headaches mbili hapo mbele BOATENG NA GYAN