World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi simtaki Essien saa hizi, namtaka mshambuliaji au winga akaipasue beki ya Mmarekani

Mkuu ni kweli nani sasa wa kuingia kufanya hiyo Kazi, Ngoja waendelee kujaribu hivyo hivyo.
 
Naona mganga wa Ghana kule nje kachanganyikiwa.
 
Ukiingia ndani ya 18 goli zinakuja zenyewe haya ndo matunda
 
Aluuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaa...ayew on th score sheet..wat a goal.
 
Yeaaaah yeaaah yeaaah yeaaaaaaaah uuuuwiii@kitoabu nimerudisha shilingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…