World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi simtaki Essien saa hizi, namtaka mshambuliaji au winga akaipasue beki ya Mmarekani

Mkuu ni kweli nani sasa wa kuingia kufanya hiyo Kazi, Ngoja waendelee kujaribu hivyo hivyo.
 
Naona mganga wa Ghana kule nje kachanganyikiwa.
 
Aluuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaa...ayew on th score sheet..wat a goal.
 
Yeaaaah yeaaah yeaaah yeaaaaaaaah uuuuwiii@kitoabu nimerudisha shilingi
 
Back
Top Bottom