Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Mkuu sio magoli tu. MPira wa kileo unahitaji wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kuamua harakaWaafrika kwenye kufunga magoli bado sana.
Wapuuzi tu Ghana mkuu hawana strategy yyt ile wakivuka upande wa 2 wa adui!Hawastahili kuingia round ya pili!
Tegemeo letu sasa ni Ivory Coast tu maana Algeria yupo na Belgium na Russia!
Ni rahisi kwa ngamia kupita tundu la sindano kuliko Algeria kupita kundi lake
Usiku mwema wakuu, ng'ombe wa maskini hazai akizaa ni dume!!! Poor Ghana, poor Africa!!!
You you africans they score you every match you play...
Mkuu wazingu huwa wanatutania msemo huuDogo aliyeruhusu kona ndo katuua kabisa dadeki!
​.....Inaumiza sana
Ndugu yangu hapo ni kula samaki kwa pichaGhana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany
Ghana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany
Ghana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany