World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Daaah raha sana kuangalia ESPN maana wametegesha camera zao kwenye parks za sehemu mbalimbali Marekani na wanaonyesha jinsi ambavyo washabiki walivyoshangilia magoli.....
 
Kweli mpira hauna logic, it was all Ghana 2nd half.. lakini mh
 
Do not take the game so serious..soccer hs alot of suprises thts y we love the game....aftal hawa sio taifa stars.
 
Waafrika kwenye kufunga magoli bado sana.
Mkuu sio magoli tu. MPira wa kileo unahitaji wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kuamua haraka
Sasa gori la pili la Ghana ni upuuzi tu wa beki kushindwa kurudisha mpira aliokuwa anaweza kuukoa. Na kibaya walikuwa droo so hakukuwa na sababu ya kuuacha utoke
 
Wapuuzi tu Ghana mkuu hawana strategy yyt ile wakivuka upande wa 2 wa adui!Hawastahili kuingia round ya pili!

Tegemeo letu sasa ni Ivory Coast tu maana Algeria yupo na Belgium na Russia!

Ni rahisi kwa ngamia kupita tundu la sindano kuliko Algeria kupita kundi lake

nakubaliana na wewe strategy ya final third ilikuwa mbovu, walikuwa wanapiga majalo badala ya kufungua vyumba. Anyway, huwezi kujua katika soka, lolote linaweza kutokea kama leo. Afrika tulitegemea kumfunga Marekani lakini bahati haikuwa yetu.
 
Usiku mwema wakuu, ng'ombe wa maskini hazai akizaa ni dume!!! Poor Ghana, poor Africa!!!


Hii balaa sijui kwanini tumekesha, bora tungelala.

Nakweli hatuna la maana

Nigeria - kachemka ndiyo mwenyekundi rahisi

Ghana - mechi hii ndo yenye uafadhali kayeyuka

Cameroon- Balaaa

Hao Ivory cost siwaamini, wanatumia nguvu sana wakikutana na wanjana redi kadi zitawamaliza

Hakika stil Africa a continent of Darkness???? lets wait!!!!!
 
Dogo aliyeruhusu kona ndo katuua kabisa dadeki!
Mkuu wazingu huwa wanatutania msemo huu
"There is no hurry in Africa" yule dogo alitaka mpira utoke wakati alikuwa anauwezo wa kuurudisha na kuwapa wenzie. Ona alivyo -------- alienda kutafuta droo au ushindi?
Afrika hatustahili kabisa kwa mpira wa zama hizi. Uwezo wetu wa kufikiri na kufanya maamuzi katika muda mfupi ni mdogo sanaaa. Wenzetu wako mbalii mno hatustahili kabisaa
 
Ghana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany
Ndugu yangu hapo ni kula samaki kwa picha
Timu za Afrika bado sana kakaa kumbuka Portugal leo magoli ya mapema na Redcard ndovimemgalimu. Hapo kuna kuondoka bila point. Sisi mpira hatujui
 
Ghana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany

Ahahahahahah mkuu you make me laugh loudly!

Nakuhakikishia Muller siku na Ghana anaondoka na mpira wake tena kama tu leo!

Ghana anarudi Kumasi bila point hata moja!!Ghana katoka!!
 
Tangu mwonzo nlikua nawashangaa waliokua wakiipa nafasi ghana..ghana wanatatizo kubwa la beki..nliangalia game yao ya friendly na uholanzi kwenyr hyo game mabeki waliwaangusha sana..naona leo kidgo wamebadilika japo tatizo la mabeki bdo wanalo..mabeki wao hawana tactal displine..wanajichezea tu hawafati maelekezo ya mwalimu wao..
 
Nasma tena. safari ya Ghana imeishia hapo. games zilizobaki hakuna hata atakayotoa droo.
 
Eeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...

Too sad
 
Itabidi wawe wamaliziaji wazuri zaidi kuliko ilivyokuwa leo, vinginevyo wanaweza kupoteza mechi zote mbili.

Ghana bado wana chance ... uwezo wa kuifunga Portugal na hata Germany
 
Back
Top Bottom