Hata usingizi umekata kwa maumivu ya hii mechi, mkuu ila Ndio mpira hata Spain bingwa mtetezi alipigwa tano.
Hata usingizi umekata kwa maumivu ya hii mechi, mkuu ila Ndio mpira hata Spain bingwa mtetezi alipigwa tano.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.Eeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...
Too sad
BAK acha tu! Bora tungefurahishana na wenzi wetu kuliko mechi za leo!!!!
Nasma tena. safari ya Ghana imeishia hapo. games zilizobaki hakuna hata atakayotoa droo.
Game zilizobaki inatakiwa Ghana ishinde zoote mbili ndo ijihakikishie nafasi. niambia ghana itamfunga nani kati ya German na ureno?Hapana Mkuu Ghana lazima ipite ili kundi, still Ghana ni timu bora sana.
Ngoja watoke nilisikia eti mganga wa kwao huko anajisifu amemroga Cristiano Ronaldo haaa haaa haaa sasa sijui alishindwa nini kuroga ili washinde. Mpaka pale mitazamo yetu itakapo badilika ndipo tutavieupika hivyo unavyosema mkuuEeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...
Too sad
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.
Pole sana. pengine kilio chako kitasikilizwa.
tukirudi nyumbani, timu yetu ya Taifa mara ya mwisho kushiriki AFCON(Sio kuchukua ubingwa) ilikuwa ni mwaka 1975, achilia mbali World Cup ambayo hata hatuifikirii.
huenda tukawa tunafosi kitu ambacho hatuna uwezo nacho.
Game zilizobaki inatakiwa Ghana ishinde zoote mbili ndo ijihakikishie nafasi. niambia ghana itamfunga nani kati ya German na ureno?
Ngoja watoke nilisikia eti mganga wa kwao huko anajisifu amemroga Cristiano Ronaldo haaa haaa haaa sasa sijui alishindwa nini kuroga ili washinde. Mpaka pale mitazamo yetu itakapo badilika ndipo tutavieupika hivyo unavyosema mkuu
Shardcole Maisha yanatengenezwa hayaibuki tuu. Huwezi kuwa na imani potofu ukafanikiwa never au wee ni kumwabudu Mungu tuuu bila kujishughulisha never. Ogopa sana viongozi wakikosea ile laana inakuja hadi kwa Raia mnaona mambo hayaendi. Viongozi ndo kama Moyo wa Taifa viongozi wakiwa na Tabia mbaya, Rushwa iliyokithiri, ufujaji wa pesa yaani matatizo ya nchi zetu yanapelekea hata utendaji wa akili na miili yetu kuwa dhaifu sana ndo unachokiona hata mpira Timu zetu hazina uwezo sababu wachezaji hadi kocha wana viwango vidogo vya kufikiri ambavyo vinasababisha maamuzi tata yanayozigharimu timu zetu. Ogopa sana akili (ubongo) ukiwa haupo kamili ki utendaji kusema ukwrli ni shida na ndivyo waafrika wengi tulivyoMkuu kwakweli hali inatisha pote, labda tusubiri rehema za Mungu atusaidie.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.
Pole sana. pengine kilio chako kitasikilizwa.
tukirudi nyumbani, timu yetu ya Taifa mara ya mwisho kushiriki AFCON(Sio kuchukua ubingwa) ilikuwa ni mwaka 1975, achilia mbali World Cup ambayo hata hatuifikirii.
huenda tukawa tunafosi kitu ambacho hatuna uwezo nacho.
Mkuu nadhani ilikuwa ni mwaka 1982
Shardcole Maisha yanatengenezwa hayaibuki tuu. Huwezi kuwa na imani potofu ukafanikiwa never au wee ni kumwabudu Mungu tuuu bila kujishughulisha never. Ogopa sana viongozi wakikosea ile laana inakuja hadi kwa Raia mnaona mambo hayaendi. Viongozi ndo kama Moyo wa Taifa viongozi wakiwa na Tabia mbaya, Rushwa iliyokithiri, ufujaji wa pesa yaani matatizo ya nchi zetu yanapelekea hata utendaji wa akili na miili yetu kuwa dhaifu sana ndo unachokiona hata mpira Timu zetu hazina uwezo sababu wachezaji hadi kocha wana viwango vidogo vya kufikiri ambavyo vinasababisha maamuzi tata yanayozigharimu timu zetu. Ogopa sana akili (ubongo) ukiwa haupo kamili ki utendaji kusema ukwrli ni shida na ndivyo waafrika wengi tulivyo