World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Waghana hapa silver spring wamejificha..lkn mbona huyu jamaa gyan huwa anakosa magoli sana lkn wanampanga tu..hawana mtu mwingine..!!!
 
Eeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...

Too sad
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.
Pole sana. pengine kilio chako kitasikilizwa.
tukirudi nyumbani, timu yetu ya Taifa mara ya mwisho kushiriki AFCON(Sio kuchukua ubingwa) ilikuwa ni mwaka 1975, achilia mbali World Cup ambayo hata hatuifikirii.

huenda tukawa tunafosi kitu ambacho hatuna uwezo nacho.
 
Ngoja watoke nilisikia eti mganga wa kwao huko anajisifu amemroga Cristiano Ronaldo haaa haaa haaa sasa sijui alishindwa nini kuroga ili washinde. Mpaka pale mitazamo yetu itakapo badilika ndipo tutavieupika hivyo unavyosema mkuu
 
Mkuu kwakweli hali inatisha pote, labda tusubiri rehema za Mungu atusaidie.
 
Game zilizobaki inatakiwa Ghana ishinde zoote mbili ndo ijihakikishie nafasi. niambia ghana itamfunga nani kati ya German na ureno?

Kweli mkuu hapo mbele kiza, labda tujaribu kuwapa wachezaji wetu wanywe Anointing water za Tb Joshua pia tuwape na Anointing sticker wajibandike mapajani then siku ya mechi Afrika tufunge kwa maombi.
 
Ngoja watoke nilisikia eti mganga wa kwao huko anajisifu amemroga Cristiano Ronaldo haaa haaa haaa sasa sijui alishindwa nini kuroga ili washinde. Mpaka pale mitazamo yetu itakapo badilika ndipo tutavieupika hivyo unavyosema mkuu

Aiseee ipo kazi.
 
Mkuu kwakweli hali inatisha pote, labda tusubiri rehema za Mungu atusaidie.
Shardcole Maisha yanatengenezwa hayaibuki tuu. Huwezi kuwa na imani potofu ukafanikiwa never au wee ni kumwabudu Mungu tuuu bila kujishughulisha never. Ogopa sana viongozi wakikosea ile laana inakuja hadi kwa Raia mnaona mambo hayaendi. Viongozi ndo kama Moyo wa Taifa viongozi wakiwa na Tabia mbaya, Rushwa iliyokithiri, ufujaji wa pesa yaani matatizo ya nchi zetu yanapelekea hata utendaji wa akili na miili yetu kuwa dhaifu sana ndo unachokiona hata mpira Timu zetu hazina uwezo sababu wachezaji hadi kocha wana viwango vidogo vya kufikiri ambavyo vinasababisha maamuzi tata yanayozigharimu timu zetu. Ogopa sana akili (ubongo) ukiwa haupo kamili ki utendaji kusema ukwrli ni shida na ndivyo waafrika wengi tulivyo
 
Ndiyo mwisho wa safari.

Kama kawaida yetu lack of concentration, mwanzoni mwa mchezo na mwishoni pale mnapofkiria kuwa mechi inaisha kwa draw au ushindi.Haya ni matatizo ya kimsingi, sababu mafunzo ya soka kwa wachezaji wetu wanayapata wakishakuwa vijeba tofauti na wengine hata kama wana vipaji vya soka.

Mwisho, kuogopa majina makubwa hata kama peformances zao zimeshuka, GYAN, ESSIEN, PRINCE BOATENG.

Mwisho kabisa bado tunawahitaji wazungu kutuongoza kwenye benchi la ufundi, wala siyo suala la utumwa wala ukoloni mambo leo, sembuse Wamarekani waliomchukua Clinsman Mjerumani, leo tumeyaona ya Keshi wa Nigeria na Appiah wa Ghana.

Hii mambo ya kufungwa tumefugwa lakini chenga twawala haitakiwi tena kwenye karne hii
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.
Pole sana. pengine kilio chako kitasikilizwa.
tukirudi nyumbani, timu yetu ya Taifa mara ya mwisho kushiriki AFCON(Sio kuchukua ubingwa) ilikuwa ni mwaka 1975, achilia mbali World Cup ambayo hata hatuifikirii.

huenda tukawa tunafosi kitu ambacho hatuna uwezo nacho.

Mkuu nadhani ilikuwa ni mwaka 1982
 
Shardcole Maisha yanatengenezwa hayaibuki tuu. Huwezi kuwa na imani potofu ukafanikiwa never au wee ni kumwabudu Mungu tuuu bila kujishughulisha never. Ogopa sana viongozi wakikosea ile laana inakuja hadi kwa Raia mnaona mambo hayaendi. Viongozi ndo kama Moyo wa Taifa viongozi wakiwa na Tabia mbaya, Rushwa iliyokithiri, ufujaji wa pesa yaani matatizo ya nchi zetu yanapelekea hata utendaji wa akili na miili yetu kuwa dhaifu sana ndo unachokiona hata mpira Timu zetu hazina uwezo sababu wachezaji hadi kocha wana viwango vidogo vya kufikiri ambavyo vinasababisha maamuzi tata yanayozigharimu timu zetu. Ogopa sana akili (ubongo) ukiwa haupo kamili ki utendaji kusema ukwrli ni shida na ndivyo waafrika wengi tulivyo

Hii kweli tupu mkuu.
 
Back
Top Bottom